WADAU WA JUKWAA LA KATIBA YA WATU..KINACHOENDELEA MITANDAONI HATUPASWI KULIKALIA KIMYA..HAMASA YA MALALAMIKO YA MIKATABA YAMEGUBIKA KILA KITU..NINA OMBA KAMA INARUHUSIWA WALAU KUJADILI MASWALI YANGU HAYA KIKATIBA SEHEMU YA PILI