MWALIKO WA KUSHIRIKI MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA UNAOSHIRIKISHA WADAU WA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI VYA SIASA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA MAPENDEKEZO YA KIKOSI KAZI NA KUJADILI HALI YA SIASA NCHINI.