“Kwa maoni yangu, elimu ya Katiba ni muhimu. Tupate uelewa mpana wa maudhui ya Katiba ya sasa, pengine hata na elimu ya uraia ili tutakapokuwa tunashiriki mijadala tuwe na hoja zenye mashiko. Mfano, mimi natamani kujua haki za kiuwekezaji zilizomo kwenye Katiba. Ambao mna uelewa, mtusaidie”-Mdau