Kikao cha 77 cha kawaida cha Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kimeanza tarehe 20 Oktoba, 2023, na kinatarajiwa kuendelea hadi tarehe 09 Novemba, 2023.