Naomba msaada wa kikatiba juu ya yafuatayo:-1. Sheria ya ardhi na umiliki wake, 2. Haki ya wananchi kuwawajibisha Viongozi pindi wanaposhindwa kufanya yaliyo-matarajio ya Wananchi, 3. Nashauri pia naomba sana ELIMU YA KATIBA MPYA ifike mpaka VIJIJINI.