MDAU AHOJI JUU YA 4R.”Hebu tujikite hapa kidogo, baada ya Kiongozi wa Nchi kusema kuhusu 4R, nani anajukumu la kuuelimisha umma kuhusu 4R? Jamii ina uelewa kiasi gani kuhusu 4R?Je!, 4R ni jambo jipya?”