MJADALA WA MASWALI YA MDAU 1. Je, katiba iliyopo sasa ina-mtambuaje Kijana? 2. Je, sheria zetu zinamwelezeaje Kijana na namna Serikali inapaswa kuwekeza kwake (hasa ukizingatia nguvu kubwa ya ujenzi wa Taifa ipo kwa Vijana?)