Wadau wahoji Juu Ya kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia je, ina mikakati ya kutosha kuhakikisha kuwa wananchi wa maeneo ya vijijini wanafaidika na huduma hizi muhimu za kisheria kama inavyofanyika katika maeneo ya mijini?