Mdau aliuliza kwenye mjadala..Hivi hiyo Katiba isiyoandikwa inafanyaje kazi wakati haipo documented? How can it be referred? Ina maana wananchi na viongozi wao wanakuwa wameikariri kichwani? Naomba elimu tafadhali.