TATHMINI NA RIPOTI YA MJADALA “MDAU ALIULIZA KWENYE MJADALA, HIVI HIYO KATIBA ISIYOANDIKWA INAFANYAJE KAZI WAKATI HAIPO DOCUMENTED? HOW CAN IT BE REFERRED? INA MAANA WANANCHI NA VIONGOZI WAO WANAKUWA WAMEIKARIRI KICHWANI? NAOMBA ELIMU TAFADHALI. – DECEMBER 01, 2023