
Lengo ni kujadili Miswaada ya Sheria za Uchaguzi na Sheria za Vyama vya Siasa iliyosomwa kwa mara ya kwanza Bungeni Novemba 10, 2023.
Kauli Mbiu;
” TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA “
MGENI RASMI;
Mhe. Othman Masoud Othman
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
🗓️ Tarehe 3 na 4 Januari, 2024
📍Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City – Dar es salaam













![MJADALA JUU YA [10:46, 25/12/2023] An: Katiba, Sera, Sheria na Kanuni](https://www.katiba.co.tz/wp-content/uploads/2023/12/WAND-150x150.jpg)



