MJADALA JUU YA MUSWADA WA THE WRITTEN LAWS (MISC AMENDMENT) NO. 2 BILL, 2023 UMESOMWA KWA MARA YA KWANZA TAREHE. 28 JUNE 2023. KAMATI YA UTAWALA KATIBA NA SHERIA ITAUCHAMBUA KWENYE VIKAO VYA KAMATI MWEZI WA NANE (KUANZIA 14 AUGUST).