TATHMINI YA MJADALA;Diplomasia na Katiba Mara zote katiba huainisha namna ambavyo Nchi husika itahusiana na majirani zake na nchi za mbali pia katika muktadha wa Kisiasa ,Kibiashara/Kiuchumi, Kijamiii na Kifundi(exchange of skills)