Hadhi ya Haki za Binadamu na Uhuru wa Raia ndani ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, inapatikana kwenye Ibara ya 9. Ibara hii inahakikisha haki za msingi za binadamu na uhuru wa raia, ikiwa ni pamoja na haki ya usawa.#katibayawatu