HATUWEZI KUTENGENEZA NCHI CHINI YA MASHAKA
“Chochote kinaandikwa kwenye Sheria haipaswi kuwa na mashaka juu ya mamlaka ya Mhe. Rais. Hatuwezi kutengeneza nchi chini ya mashaka, ni vema kumuamini Rais chini ya vyombo vyake....
“Chochote kinaandikwa kwenye Sheria haipaswi kuwa na mashaka juu ya mamlaka ya Mhe. Rais. Hatuwezi kutengeneza nchi chini ya mashaka, ni vema kumuamini Rais chini ya vyombo vyake....
(SIKU YA PILI) UFUNGUZI Mkutano ulianza na ufunguzi uliofanywa na Mhe. Othman M. Othman, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Kikao kilianza...
(SIKU YA KWANZA) Mkutano ulilenga kuimarisha demokrasia na kuleta maridhiano kati ya vyama vya siasa. Kauli mbiu ya mkutano ilikuwa “Toa Maoni Yako Kuimarisha...
Bw. Salim. Niliposema ‘reform’ sikuwa na maana tuanze na reform. Hivyo ni lazima tuanze na maridhiano na kuvumiliana. Nakubaliana na wote wanaosema kuwa R4 ni falsafa sahihi...
Bw. Doyo. Naomba nianze na nia ya Mhe.Rais, nianze na Watendaji wa chini. Serikali itengeneze programu maalum yakuwafanya hawa Watumishi wa Serikali wazielewe vizuri R4. Dira ya Taifa...
KAMA ULIVYOONGOZWA NA BW. ABBAKARI MACHUMU MWONGOZA MADA (SIKU YA 01) Wachochea Mada walipata nafasi kusisitiza mambo yafuatayo Dhana ya R4 Maridhiano...
Baraza la Vyama vya Siasa nchini liliandaa Mkutano Maalum wa kujadili na kupokea maoni ya Wadau juu ya mswada wa Sheria za Uchaguzi na Sheria za Vyama vya Siasa ambayo ni matokeo ya...