Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Mohamed Ali Ahmed,akiongea na waandishi wa habari katika ofisi za msajiliwa Vyama Vya siasa tarihe 9 Septemba 2023 jiji Dar es salaam



Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Mohamed Ali Ahmed,jijini Dar es Salaam amesema tarehe 11 Septemba mwaka huu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
@SuluhuSamia atakuwa mgeni rasmi kwenye Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia nchini.
Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Mohamed Ali Ahmed, leo jijini Dar es Salaam amesema tarehe 11 Septemba mwaka huu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @SuluhuSamia atakuwa mgeni rasmi kwenye Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia nchini.
Mkutano huo wa siku tatu uliobeba kauli mbiu Imarisha Demokrasia Tunza Amani utafanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Julius Nyerere jijini Dar es Salaam na utafungwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi





