[07:06, 29/10/2023] +255 693 09: TANZANIA HATUNA HAJA YA KATIBA MPYA KWANZA TUJUE MAANA YA KATIBA YENYEWE ILIOPO KWA SÀSA
[08:08, 29/10/2023] +255 625 379 : Hata ikianza chekechea kwa mifumo ya Elimu yetu sijui Kuna Jambo muhimu kwa nchi hii ni Viongozi kukubali kuenenda njia ya Utawala wa sheria, Hili ni vile labda sababu katiba ya leo siijui vema lakini Tunaweza hata tukabali Katiba lakini Watu wakishindwa kua kwenye utawala wa kisheria bado Maadui hao watatu wataendelea kututafuna
[08:38, 29/10/2023] Mki : “Katiba inawapa haki ya kutafuta furaha tu, Unapaswa kuijua mwenye.
By Benjamin Franklin
Hii inatutafakarisha nini? Mwananchi wanayo kiu ya kuijua Katiba? Wana kiu ya kujua masuala ya Uraia wao? Wanaona umuhimu wa kujua hayo? Ili iweje? Halafu akishajua ndiyo nini? Ipi ni tofauti ya wakati Hajui na atakapojua?
[08:51, 29/10/2023] +255 693: 😂 ILIOPO nini SÀSA ivi
[08:55, 29/10/2023] Mk : Sijaelewa swali kiongozi.
[08:57, 29/10/2023] +255 69: TANZANIA HATUNA HAJA YA KATIBA MPYA KWANZA TUJUE MAANA YA KATIBA YENYEWE ILIOPO KWA SÀSA
[08:59, 29/10/2023] +255 762 524 : Sahihi 80% hawajui katiba iliyopo waijue halafu ndio tuanze mjadala wa katiba mpya
[09:00, 29/10/2023] Mk : Kwanini unaona hivyo?
[09:00, 29/10/2023] +255 693 093: Yap haiwezekani hiii katiba ILIOPO hawaielewi wakadumbukizwa na Wanasiasa kwa masilai yao binafsi
[09:01, 29/10/2023] Mki : Kuna utafiti wowote umefanyika na kutupa takwimu hizi?
[09:05, 29/10/2023] +255 693 093 : Tafit hebu jalibu huko uliko uliza watu 10 kijueni waulize KATIBA nn halafu tupe jibu
[09:09, 29/10/2023] Mk : Sawa, nitauliza. Lakini hiyo itatupa nasibu ya Takwimu za taifa?
Je!, Serikali inaweza kufanya Utafiti kama huu ili kuoata srtong data za kuestablish hili gape? Nawazankwa sauti
[09:11, 29/10/2023] +255 762 : Vijijini na baadhi ya mitaa na mijini ambae hajasoma hadi form 6 au vyuo vya kati na elimu ya juu muulize katiba anaijuaje utakuta katiba hii iliyopo anaelewa yote utakuta ni 0 shida mnaofanya utafiti mnafanya kwa wasomi hamuendi kule ambako panahitajika utafiti
[09:13, 29/10/2023] +255 762 524 : Na siyo kijiweni tu kila kijiji mkutane na watu 10 labda apatikane aliyestafu serekalini ndio atapatikana na kueleza katiba
[09:13, 29/10/2023] Mki : Nini ushauri wako? Ili kufanikisha utafiti unaogusa watu wote.
.jpeg)
[09:15, 29/10/2023] +255 754 : Elimu ya katiba Tanzania inatakiwa sana.
Siku moja huku kijijini kwenye kijiwe cha wacheza bao la kete walikuwa wanajadili juu ya Katiba mpya.
Nikawaonesha Katiba ya CCM wakasema kwa sauti hii ndiyo inatutesa.
Wananchi wengi hawajui katiba ya Tanzania
[09:16, 29/10/2023] +255 693 093 : Nikweli
[09:17, 29/10/2023] +255 762 524 : Ushauri wangu wanainchi waelimishwe kwanza wajue iliyopo kijiji kwa kijiji mtaa kwa mtaa kipindi cha miaka 3 au miaka 4
[09:17, 29/10/2023] Mki : Ikiwa utafanyika utafiti kuhusu uelewa wa wananchi wa Katiba au na Uraia, unatamani maswali gani ya ulizwe ?
[09:17, 29/10/2023] Mod: Ni kupatikana kwa watu wataoenda kwenye jumuiya ya watu vijijini na kutoa elimu juu ya katiba..hawataelewa wote ila angalau elimu itakuwa imewafikia na kufisha lengo
[09:19, 29/10/2023] Mki : Unaweza kupendekeza mada za kufundisha?
[09:22, 29/10/2023] +255 693 093 : Namimi kwasasa ivi hatuana haja ya kuwaza katiba tunachotaka kuwaza maendeleo vkatiba kwasasa haina umuhimu
[09:23, 29/10/2023] +255 762 524 : Muundo wa uongozi kuna kada ambazo naona kuna pesa nyingi ambazo mwenyekiti wa mtaa kijiji na kitongoji kulipwa mfano kada ya afisa tarafa ,mkuu wa wilaya ,mkuu wa mkoa ,ngazi za kiutawala ziwe Rais makamu Rais mbunge Diwani mwenyekiti wa mtaa ,kitongoji na kijiji watendaji Waziri mkuu na baraza la mawaziri ,katibu tawala mkoa katibu tawala wilaya kwenye Halmashaur mkurugenzi,mtendaji kata mtendaji mtaa na mtendeji kijiji
[09:32, 29/10/2023] Mki : Ukiacha muundo huu unaoongelea, vipi kuhusu masuala ya Uraia mfano; Wajibu na haki wa raia? Raia wanashiriki vipi masuala ya ulinzi katika jamii? Muuondo wa nyumba kumi ule wa zamani, uweje kwa sasa? Vipi kuhusu historia ya Waasisi wa Taifa, ukiacha Mwalimu na Mzee Karume, nani wengine walipigania taifa? Historia zao zipo wapi? Kuna umuhimu wa kuzihifadhi? …
[09:33, 29/10/2023] Mki : Vipi kuhusu Tunu za taifa?


![MJADALA ULIOENDELEA TOKA [07:06, 29/10/2023] HADI [13:41, 29/10/2023] ULIOJUMLISHA WADAU 1023 KATIKA FORUM YA KATIBA YA WATU NI WA KINA NA UNAONYESHA MASWALA MUHIMU YANAYOHUSU KATIBA, ELIMU YA KATIBA, NA USHIRIKI WA WANANCHI KATIKA MCHAKATO WA KUBADILISHA KATIBA.](https://www.katiba.co.tz/wp-content/uploads/2023/10/kt-150x150.jpg)


