Tathmini na mapendekezo ya Mjadala wote uliohusu 4R, nani anajukumu la kuuelimisha umma kuhusu 4R? Jamii ina uelewa kiasi gani kuhusu 4R? ,Je!, 4R ni jambo jimpya? na nini umuhimu wa 4R Katika Shughuli za Kisiasa Nchini (Maridhiano – Reconciliation, Ustahamilivu – Resilience, Mageuzi – Reforms na Ujenzi Mpya wa Taifa – Rebuilding)?