TUME YA MABADILIKO YA KATIBA MAJINA YA WALIOKUWA MAKAMISHINA WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA MPYA YA TANZANIA APRIL 6,2012.
Rais Jakaya Kikwete akitangaza majina ya wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba . Katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam April 6,2012 katika hafla iliyoshuhudia ni Makamu...






