MJADALA NA MAJIBU YA MASWALI 10 YA MDAU JUU YA UTARATIBU WA KISHERIA KUPINGA MAAMUZI YA BUNGE MAHAKAMANI, MDAU AMEULIZA HIVI
1. Je, ni nani ana mamlaka ya kufanya maamuzi na kutunga sheria nchini Tanzania? 2. Je, Katiba ya Tanzania inawezesha kupinga maamuzi ya Bunge mahakamani? 3. Ni mhimili gani wa...






