MJADALA WA MASWALI YA MDAU 1. Je, katiba iliyopo sasa ina-mtambuaje Kijana? 2. Je, sheria zetu zinamwelezeaje Kijana na namna Serikali inapaswa kuwekeza kwake (hasa ukizingatia nguvu kubwa ya ujenzi wa Taifa ipo kwa Vijana?)
3. Natoa oni: Katika katiba tarajiwa, ningeomba iwekwe SHERIA ya kumtambua, kumjali, kumpa maslahi mazuri (kwa maana ya mshahara mkubwa) na katiba imwelezee kama Mtu muhimu sana katika...






